Bienvenue sur le wiki de Nuit debout, nous sommes le 3039 mars.




Global Debout/sw

De NuitDebout
Révision de 4 mai 2016 à 17:54 par Pyb (discussion | contributions) (Page créée avec « Nuit Debout lengo lake kwanza ni kufungua nafasi kwa ajili ya’muungano wa mapambano ‘Tunaimani huu muungano utaenda mbele ya ufaransa na kusambaa ulimwengu mzima. Kuna... »)

Aller à : navigation, rechercher
Autres langues :
العربية • ‎български • ‎català • ‎Deutsch • ‎Ελληνικά • ‎English • ‎Esperanto • ‎español • ‎français • ‎hrvatski • ‎Հայերեն • ‎italiano • ‎ქართული • ‎македонски • ‎português • ‎română • ‎русский • ‎shqip • ‎српски / srpski • ‎svenska • ‎Kiswahili • ‎Türkçe • ‎中文

NI SIKU YA# NUIT DEBOUT

TUNAITA SIKU YA # GLOBAL DEBOUT DAY, HII NI SIKU YA VITENDO !

MNAMO TAREHE KUMI NA TANO MWEZI WA TANO MWAKA WA ELFU MBILI KUMI NA SITA

Habitants du monde entier, faisons tomber les frontières et construisons ensemble un nouveau printemps global ! Venez nous rejoindre les 7 et 8 mai prochains à Paris, place de la République, pour se rencontrer, débattre, partager nos expériences et nos savoir-faire, et commencer à construire ensemble perspectives et solutions communes. Et surtout, préparons et lançons ensemble une grande action internationale le 15 Mai (#76 Mars) pour occuper massivement les places publiques partout dans le monde à cette date.

Nuit Debout lengo lake kwanza ni kufungua nafasi kwa ajili ya’muungano wa mapambano ‘Tunaimani huu muungano utaenda mbele ya ufaransa na kusambaa ulimwengu mzima. Kuna harakati nyingi za kijamii katika pembe nne zote za ulimwengu; kuanzia ukosaji wa ajira na kuanzishwa kwa masoko ya fedha, kutokana na uharibifu wa mazingira dhidi ya vita kutokubalia katika usawa. Katika hali ya kuendana na mfumo wenye msingi wake uliojengwa kwa mashindano na u binafsi. Sote tunajibu kwa umoja, utendaji wa usawa na mkusanyiko wa vitendo.

Tofauti zetu Sio chanzo cha utengano, bali ni Nguzo ya nguvu zetu.wakati tunapo pongezana kwa Pamoja kwa ajili ya mapigano yetu. Hatusikizwi wala kuwakilishwa na uchumi wa Sasa katika mfumo. Kwa Pamoja tuta rudisha uwanja wa jamuhuri na siasa zake. Kwa sababu siasa ni jukumu letu sote. Sasa Sio mda wa kuacha tulicho anzisha ba li kuungana kwa Pamoja kwa ajili ya mabadiliko.

Sisi ni wale asilimia tisini na tisa na tuko hapa kupinga Sheria Ya uchumi na siasa Ya asilimia moja Ya ulimwengu mzima. Tuko hapa kuchukua kilicho Chetu; miji yetu, mahali Kwetu kwa kazi na maisha yetu. Mnamo tarehe Saba na nane tuje sote katika mji wa Paris katika uwanja wa jamuhuri! Mnamo tarehe kumi na tano mwezi wa tano tutasimama na kuungana Pamoja kwa ajili ya siku hii kuu ya ulimwengu mzima wa vitendo.

Les 7 et 8 Mai, convergeons ensemble à Paris place de la République !

  1. Nuit Debout kila mahali! #Global Debout!


Global Debout

(liste non exhaustive)

Allemagne(3 P)
Argentine(1 P)
Australie(3 P)
Autriche(3 P, 1 F)
Belgique(12 P)
Brésil(3 P)
Bulgarie(1 P)
Canada(3 P)
Chili(1 P)
Chypre(1 P)
Colombie(1 P)
Espagne(46 P)
États-Unis(4 P)
Finlande(2 P)
Grèce(22 P, 1 F)
Hongrie(1 P)
Irlande(1 P)
Italie(8 P)
Luxembourg(1 P)
Malaisie(1 P)
Mexique(1 P)
Panama(1 P)
Pays-Bas(1 P)
Portugal(1 P)
Roumanie(1 P)
Royaume-Uni(8 P)
Suisse(7 P)
Suède(1 P)
Tunisie(1 C)
Turquie(1 P)



Contacts