Bienvenue sur le wiki de Nuit debout, nous sommes le 3001 mars.

Global Debout/sw : Différence entre versions

De NuitDebout
Aller à : navigation, rechercher
(Page créée avec « Tofauti zetu Sio chanzo cha utengano, bali ni Nguzo ya nguvu zetu.wakati tunapo pongezana kwa Pamoja kwa ajili ya mapigano yetu. Hatusikizwi wala kuwakilishwa na uchumi wa... »)
(Mise à jour pour être en accord avec la nouvelle version de la source de la page)
 
(8 révisions intermédiaires par un autre utilisateur non affichées)
Ligne 1 : Ligne 1 :
 
<languages/>
 
<languages/>
NI SIKU YA# NUIT DEBOUT
+
[[Fichier:Global Debout FR.jpg|thumb]]
 +
APPEL INTERNATIONAL DE #NUITDEBOUT
  
TUNAITA SIKU YA # GLOBAL DEBOUT DAY, HII NI SIKU YA VITENDO !
 
Tunaomba wanaharakati wote ulimwengu mzima Walete watu wote Pamoja ili kupigania haki kwa kila Mmoja wetu, na utawala wa sawa. Mnamo Tarehe kumi na tano mwezi wa tano mwaka wa elfu mbili kumi na sita #Siku Ya kusimama Pamoja ulimwenguni.
+
MNAMO TAREHE KUMI NA TANO MWEZI WA TANO MWAKA WA ELFU MBILI KUMI NA SITA
  
Habitants du monde entier, faisons tomber les frontières et construisons ensemble un nouveau printemps global ! Venez nous rejoindre les 7 et 8 mai prochains à Paris, place de la République, pour se rencontrer, débattre, partager nos expériences et nos savoir-faire, et commencer à construire ensemble perspectives et solutions communes. Et surtout, préparons et lançons ensemble une grande action internationale le 15 Mai (#76 Mars) pour occuper massivement les places publiques partout dans le monde à cette date.  
+
Upiganizi wa ulimwengu bora ni wa kimataifa na hauna mipaka. Tuanzishe kwa Pamoja muungano wa kimataifa wa upinzani! Ungana nasi pale de Republique katika mji wa Paris mnamo tarehe saba na nane mwezi wa tano.kujadili na kupeana mawazo na tuanze kuchangia kwa Pamoja ili Tupate suluhisho dhabiti. Pale tutaongea na kupata mikakati bora ili kujitayarisha kwa Ajili Ya siku hii Kubwa Ya VITENDO.
  
Nuit Debout s'est fixé comme objectif premier la création d'un espace de convergence des luttes. Cette convergence pourrait aller encore plus loin et s'entendre à un niveau international. Des liens existent entre les nombreux mouvements qui s'opposent aux quatre coins du monde à la précarité, au diktat des marchés financiers, à la destruction de l'environnement, aux guerres et au militarisme, à la dégradation de nos conditions de vie.
+
Mnamo tarehe kumi na tano mwezi wa tano. Tutatumia hii siku kuleta watu Pamoja na kuchukua hatua Ya moja kwa moja kwa Pamoja katika ulimwengu mzima.
 +
 
 +
Nuit Debout lengo lake kwanza ni kufungua nafasi kwa ajili ya’muungano wa mapambano ‘Tunaimani huu muungano utaenda mbele ya ufaransa na kusambaa ulimwengu mzima. Kuna harakati nyingi za kijamii katika pembe nne zote za ulimwengu; kuanzia ukosaji wa ajira na kuanzishwa kwa masoko ya fedha, kutokana na uharibifu wa mazingira dhidi ya vita kutokubalia katika usawa. Katika hali ya kuendana na mfumo wenye msingi wake uliojengwa kwa mashindano na u binafsi. Sote tunajibu kwa umoja, utendaji wa usawa na mkusanyiko wa vitendo.
  
Tofauti zetu Sio chanzo cha utengano, bali ni Nguzo ya nguvu zetu.wakati tunapo pongezana kwa Pamoja kwa ajili ya mapigano yetu. Hatusikizwi wala kuwakilishwa na uchumi wa Sasa katika mfumo. Kwa Pamoja tuta rudisha uwanja wa jamuhuri na siasa zake. Kwa sababu siasa ni jukumu letu sote. Sasa Sio mda wa kuacha tulicho anzisha ba li kuungana kwa Pamoja kwa ajili ya mabadiliko.
 
Aujourd'hui n’est plus le moment de s’indigner seul dans son coin, mais d'agir tous ensemble. Nous, les 99%, nous avons la capacité d'agir et de repousser définitivement les 1% et leur monde, pour les déloger de nos villes, de nos lieux de travail, de nos vies.
+
Sisi ni wale asilimia tisini na tisa na tuko hapa kupinga Sheria Ya uchumi na siasa Ya asilimia moja Ya ulimwengu mzima. Tuko hapa kuchukua kilicho Chetu; miji yetu, mahali Kwetu kwa kazi na maisha yetu. Mnamo tarehe Saba na nane tuje sote katika mji wa Paris katika uwanja wa jamuhuri! Mnamo tarehe kumi na tano mwezi wa tano tutasimama na kuungana Pamoja kwa ajili ya siku hii kuu ya ulimwengu mzima wa vitendo.
  
Les 7 et 8 Mai, convergeons ensemble à Paris place de la République !
+
Mnamo tarehe Saba na nane tuje sote katika mji wa Paris katika uwanja wa jamuhuri!
  
#Nuit Debout kila mahali! #Global Debout!
+
Mnamo tarehe kumi na tano mwezi wa tano tutasimama na kuungana Pamoja kwa ajili ya siku hii kuu ya ulimwengu mzima wa vitendo. #Nuit Debout kila mahali! #Global Debout!
  
Version actuelle en date du 5 mai 2016 à 00:00

Autres langues :
العربية • ‎български • ‎català • ‎Deutsch • ‎Ελληνικά • ‎English • ‎Esperanto • ‎español • ‎français • ‎hrvatski • ‎Հայերեն • ‎italiano • ‎ქართული • ‎македонски • ‎português • ‎română • ‎русский • ‎shqip • ‎српски / srpski • ‎svenska • ‎Kiswahili • ‎Türkçe • ‎中文
Global Debout FR.jpg

APPEL INTERNATIONAL DE #NUITDEBOUT

TUNAITA SIKU YA # GLOBAL DEBOUT DAY, HII NI SIKU YA VITENDO !

MNAMO TAREHE KUMI NA TANO MWEZI WA TANO MWAKA WA ELFU MBILI KUMI NA SITA

Upiganizi wa ulimwengu bora ni wa kimataifa na hauna mipaka. Tuanzishe kwa Pamoja muungano wa kimataifa wa upinzani! Ungana nasi pale de Republique katika mji wa Paris mnamo tarehe saba na nane mwezi wa tano.kujadili na kupeana mawazo na tuanze kuchangia kwa Pamoja ili Tupate suluhisho dhabiti. Pale tutaongea na kupata mikakati bora ili kujitayarisha kwa Ajili Ya siku hii Kubwa Ya VITENDO.

Mnamo tarehe kumi na tano mwezi wa tano. Tutatumia hii siku kuleta watu Pamoja na kuchukua hatua Ya moja kwa moja kwa Pamoja katika ulimwengu mzima.

Nuit Debout lengo lake kwanza ni kufungua nafasi kwa ajili ya’muungano wa mapambano ‘Tunaimani huu muungano utaenda mbele ya ufaransa na kusambaa ulimwengu mzima. Kuna harakati nyingi za kijamii katika pembe nne zote za ulimwengu; kuanzia ukosaji wa ajira na kuanzishwa kwa masoko ya fedha, kutokana na uharibifu wa mazingira dhidi ya vita kutokubalia katika usawa. Katika hali ya kuendana na mfumo wenye msingi wake uliojengwa kwa mashindano na u binafsi. Sote tunajibu kwa umoja, utendaji wa usawa na mkusanyiko wa vitendo.

Tofauti zetu Sio chanzo cha utengano, bali ni Nguzo ya nguvu zetu.wakati tunapo pongezana kwa Pamoja kwa ajili ya mapigano yetu. Hatusikizwi wala kuwakilishwa na uchumi wa Sasa katika mfumo. Kwa Pamoja tuta rudisha uwanja wa jamuhuri na siasa zake. Kwa sababu siasa ni jukumu letu sote. Sasa Sio mda wa kuacha tulicho anzisha ba li kuungana kwa Pamoja kwa ajili ya mabadiliko.

Sisi ni wale asilimia tisini na tisa na tuko hapa kupinga Sheria Ya uchumi na siasa Ya asilimia moja Ya ulimwengu mzima. Tuko hapa kuchukua kilicho Chetu; miji yetu, mahali Kwetu kwa kazi na maisha yetu. Mnamo tarehe Saba na nane tuje sote katika mji wa Paris katika uwanja wa jamuhuri! Mnamo tarehe kumi na tano mwezi wa tano tutasimama na kuungana Pamoja kwa ajili ya siku hii kuu ya ulimwengu mzima wa vitendo.

Mnamo tarehe Saba na nane tuje sote katika mji wa Paris katika uwanja wa jamuhuri!

Mnamo tarehe kumi na tano mwezi wa tano tutasimama na kuungana Pamoja kwa ajili ya siku hii kuu ya ulimwengu mzima wa vitendo. #Nuit Debout kila mahali! #Global Debout!

Global Debout[modifier | modifier le wikicode]

(liste non exhaustive)

Allemagne(3 P)
Argentine(1 P)
Australie(3 P)
Autriche(3 P, 1 F)
Belgique(12 P)
Brésil(3 P)
Bulgarie(1 P)
Canada(3 P)
Chili(1 P)
Chypre(1 P)
Colombie(1 P)
Espagne(46 P)
États-Unis(4 P)
Finlande(2 P)
Grèce(22 P, 1 F)
Hongrie(1 P)
Irlande(1 P)
Italie(8 P)
Luxembourg(1 P)
Malaisie(1 P)
Mexique(1 P)
Panama(1 P)
Pays-Bas(1 P)
Portugal(1 P)
Roumanie(1 P)
Royaume-Uni(8 P)
Suisse(7 P)
Suède(1 P)
Tunisie(1 C)
Turquie(1 P)

Contacts[modifier | modifier le wikicode]