Bienvenue sur le wiki de Nuit debout, nous sommes le 3025 mars.




Translations:Global Debout/3/sw

De NuitDebout
Aller à : navigation, rechercher

Upiganizi wa ulimwengu bora ni wa kimataifa na hauna mipaka. Tuanzishe kwa Pamoja muungano wa kimataifa wa upinzani! Ungana nasi pale de Republique katika mji wa Paris mnamo tarehe saba na nane mwezi wa tano.kujadili na kupeana mawazo na tuanze kuchangia kwa Pamoja ili Tupate suluhisho dhabiti. Pale tutaongea na kupata mikakati bora ili kujitayarisha kwa Ajili Ya siku hii Kubwa Ya VITENDO.