Bienvenue sur le wiki de Nuit debout, nous sommes le 3025 mars.




Translations:Global Debout/5/sw

De NuitDebout
Aller à : navigation, rechercher

Nuit Debout lengo lake kwanza ni kufungua nafasi kwa ajili ya’muungano wa mapambano ‘Tunaimani huu muungano utaenda mbele ya ufaransa na kusambaa ulimwengu mzima. Kuna harakati nyingi za kijamii katika pembe nne zote za ulimwengu; kuanzia ukosaji wa ajira na kuanzishwa kwa masoko ya fedha, kutokana na uharibifu wa mazingira dhidi ya vita kutokubalia katika usawa. Katika hali ya kuendana na mfumo wenye msingi wake uliojengwa kwa mashindano na u binafsi. Sote tunajibu kwa umoja, utendaji wa usawa na mkusanyiko wa vitendo.