Bienvenue sur le wiki de Nuit debout, nous sommes le 3012 mars.




Translations:Global Debout/6/sw

De NuitDebout
Aller à : navigation, rechercher

Tofauti zetu Sio chanzo cha utengano, bali ni Nguzo ya nguvu zetu.wakati tunapo pongezana kwa Pamoja kwa ajili ya mapigano yetu. Hatusikizwi wala kuwakilishwa na uchumi wa Sasa katika mfumo. Kwa Pamoja tuta rudisha uwanja wa jamuhuri na siasa zake. Kwa sababu siasa ni jukumu letu sote. Sasa Sio mda wa kuacha tulicho anzisha ba li kuungana kwa Pamoja kwa ajili ya mabadiliko.