Bienvenue sur le wiki de Nuit debout, nous sommes le 3025 mars.




Translations:Global Debout/7/sw

De NuitDebout
Aller à : navigation, rechercher

Sisi ni wale asilimia tisini na tisa na tuko hapa kupinga Sheria Ya uchumi na siasa Ya asilimia moja Ya ulimwengu mzima. Tuko hapa kuchukua kilicho Chetu; miji yetu, mahali Kwetu kwa kazi na maisha yetu. Mnamo tarehe Saba na nane tuje sote katika mji wa Paris katika uwanja wa jamuhuri! Mnamo tarehe kumi na tano mwezi wa tano tutasimama na kuungana Pamoja kwa ajili ya siku hii kuu ya ulimwengu mzima wa vitendo.